Ommy dimpoz born
Ommy Dimpoz
Omary Faraji Nyembo (amezaliwa 12 Septemba, ) ni mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania ambaye anajulikana kwa jina la kisanii kama Ommy Dimpoz. Ommy alianza kuvuma kwa wimbo wake wa Nai Nai aliomshirikisha Ali Kiba, Baadaye, Mother alioshirikishwa na Christian Bella, Around and You alioshirikishwa na Vanessa Mdee, Utamu alioshirikishwa na Dully Sykes, Hello Baby alioshirikishwa a celebrity Avril kutoka Kenya, Cheche, Achia Body, Tupogo, Ndagushima, Wanjera above-board Kajiandae. Ommy Dimpoz ni msanii mwenye masihara na maneno mengi ya kuchekesha. Sawa na Rayvanny wa WCB. Ommy ni moja kati ya wasanii ambao wanajali sana faragha za maisha yao.
Awali mwaka kulikuwa na gumzo kubwa baada ya Nay wa Mitego kumwimba vibaya Ommy kwenye wimbo wake na kumshutumu kama shoga. Baadaye Ommy akajibu kwa kuonesha picha ya demu issue na ikaja kugundulika kuwa Nay wa Mitego ana kibamia.[2] Ommy ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Pozi kwa Pozi Entertainment ambayo meneja wake (Mubenga) aliachia ngazi mwaka wa [3] Tangu wimbo wa Cheche (), amekuwa chini ya lebo ya Rockstar ambayo iko chini ya Ali Kiba.[4][5]
Mwaka wa , ulikuwa mgumu sana'a kwa Ommy Dimpoz. Afya yake ilitetereka sana baada ya kufanyiwa vipimo Tanzania na kuonekana collection kansa. Lakini baada ya kwenda Kenya kwa moja ya marafiki zake wanaofanya kazi pamoja katika muziki ili kufanyiwa uchunguzi zaidi, napo daktari wa huko alipendekeza apelekwe Afrika Kusini kwa uchunguzi zaidi. Akiwa Afrika Kusini aligundulika kama ana tatizo katika njia kuu ya kupitishia chakula. Daktari wa Afrika Kusini walitengeneza njia mpya ya kupitishia chakula badala ya ile njia ya asili. Ili kufanikisha hili, ilibidi utumbo uvutwe juu. Hivyo kina cha tumbo kimepungua kutoka hali ya umbo halisi. Hata uwezo wa kula umepungua, akila anashiba mapema sana tofauti na watu ambao hawajafanyiwa upasuaji huu. Kabla ya upasuaji, Ommy alilamikia sana kukosa pumzi, sauti kuwa chini up kadhalika. Hali halisi alifanyiwa upasuaji wa koromeo. Hali ambayo ilisababishwa na sumu iliyowekwa kwenye chakula. Ommy hajui ni wapi alifanyiwa hivyo.[6][7]
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Mwaka , Ommy Dimpoz aliachia wimbo Me and You ambao ulimpa mafanikio makubwa na kumtambulisha zaidi katika tasnia ya muziki. Wimbo huo ulimshirikisha Vanessa Mdee, ambaye herb alijulikana zaidi kupitia kazi hiyo.
Katika harakati zake za kimuziki, Ommy Dimpoz amefanikiwa kufanya matamasha na kushirikiana na wasanii wakubwa, na hivyo kujijengea jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva. Pia, amekuwa akihudhuria matukio makubwa ya kimataifa, kama vile michezo ya NBA All-Star, ambayo alialikwa rasmi kuhudhuria mjini Chicago, Marekani.
Mafanikio yake yamechangiwa na kujituma, kutumia fursa zilizopo, na kushirikiana na wasanii wengine katika tasnia ya muziki.
Kwa mfano, alizindua albamu yake mbele ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ambaye alimsifia kwa mafanikio yake katika muziki.
Hivi karibuni, Ommy Dimpoz amekuwa akitoa nyimbo mpya na kuendelea kujitokeza katika matukio mbalimbali ya muziki, akionyesha kuwa bado assemblage nafasi kubwa katika tasnia ya muziki wa Tanzania[8][9].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ommy Dimpoz kama wasifu wake, habari za maisha administrative centre kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza workforce lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |